Download - (COMMERCIAL & AGRICULTURAL CLASS) (KUNDI LA

Transcript
Page 1: (COMMERCIAL & AGRICULTURAL CLASS) (KUNDI LA

DESCRIPTIONMICROTHIOL SPECIAL DISPERSS is a dustfree, tlowable sulphur fungicide formulation forthe control of powdery mildew and mites infrenchbeans, cucumber, tomatoes and roses. Itacts by contact and through vapour action. Thecontact action relies upon good leaf coverageand the close proximity with the fungus. It has along residual activity.

DIRECTIONS FOR USE

Note:Best results are obtained when MICROTHIOL SPECIALDISPERSS is applied before disease or mite popula-tions are well established. Avoid spraying sulphur during rflowering as most crops are sensitive. A spray interval of7-10 days is recommended, depending on the disease /mite pressure.

PRE-HARVEST INTERVAL: - 3 days in greenhouses.0 days in open field

PHYTOTOXICITYMICROTHIOL SPECIAL DISPERSS is not phytotoxicwhen used as recommended.

METHOD OF APPLICATIONMICROTHIOL SPECIAL DISPERSS can be appliedbleaf surface spraying. Thorough wetting of the cropmust be ensured. Fill the spray tank with clean water,add the necessary quantity of MICROTHIOL SPECIAL!DISPERSS and stir, then top up with water. Keep onagitatingwhen filling and during spray operations.

HANDLING PRECAUTIONS. Do not smoke drink or eat while using this product.. Avoid eye contact. Wear safety goggles when

handling the product.. Avoid spray mist and exposure to the product. Wear

rubber gloves, mask covering nose and mouth. Wearprotective clothing such as long sleeved shirts, longpants and rubber boots when handling the product.

. After application wash yourself and your work clothes.

STORAGEStore in original, tightly closed container away fromchildren, food, drinks and livestock feedstuffs. Store ina cool, dry and well ventilated area under lock and key.Avoid exposure to direct sunlight. Kept under theseconditions, the shelf life of MICROTHIOL SPECIALDISPERSS is 2 years.

DISPOSALSurplus product, if unused should be disposedoff on alandfill site approved for pesticides or bury in a safeplace away from water sources in accordance withnationalrequirementand regulations. Do not useemptycontainer for any other purpose. After use, emptypackingmust be puncturedand destroyedor incinerated

A fungicide for the control of powder mildew in frenchbeans, cucumber, tomatoes and roses.

(Dawa ya kuzuia kuvu kwenye mshiri, cucumber, nyanyana warilli

READ THE LABEL BEFORE USING

(SOMA KIBANDIKO KABLA YA KUTUMIA)

(COMMERCIAL&AGRICULTURALCLASS)(KUNDILABIASHARANAKILlMO)

MAELEZOMICROTHIOL SPECIAL DlSPERSS ni dawa maalumya kuzuia ugonjwa aina ya kuvu kwenye mshiri,cucumber, nyanya na waridi. Pia huzuia waduduaina ya .

karina au 'mites' . Dawa hii haitoi vumbi wakatiwa kupima. Dawa hii hufanya kaziinapoguzanana viini vya ugonjwaau karina au kupitianguvu za mvuke. Kwa hivyo inapaswa kunyunyiziwavyema kwenyematawi.MAAGIZOYA MATUMIZI

I

II

j1

Dawa hufanya kazi bora inaponyunyiziwawakati kiwangocha mashambulio ya ugonjwa au karina ingali chini.Usinyunyizie dawa wakati mimea imeota maua. Nyunyizabaada ya kila siku 7 hadi 10 kulingana na ushambulizi wa~onjwa au karina.

MUDA WA KUNGOJA KABLA KUVUNA

siku 3 kwenye mimea inayokuzwa kwenye'greenhouse'.MADHARA KWA MIMEAHakuna madhara yatakayotokea kwenye mimea iwapoMICROTHIOL SPECIAL DISPERSS itatumiwa vileinavyoshauriwa.

NJIA YA KUTUMIAMICROTHIOL SPECIAL DISPERSS inaweza kunyuny-izwa kwa njia ya "spray" kutumia vifaa vya kawaidavinavyotumika katika ukulima. Unyunyizaji wa kisawasawawa mmea ni lazima uhakikishwe. Jaza mtungi wa kunyuny-izia na maji masafi, ongeza kiwango kinachohitajika chaMICROTHIOL SPECIAL DISPERSS na ukoroge kishaongeza maji tena.

TAHADHARI WAKATI WA MATUMIZI. Usivute sigara, usinywe, wala usile wakati unatumia

dawa hii.. Chunga isiingie machoni. Vaa miwani ya kukinga

macho unapotumia dawa hii.. Hepukana na mvuke wa dawa hii, na kujiweka wazi

kwenye dawa Vaa glovu za mkono za raba, vaa kifunikocha pua na mdomo. Vaa nguo za kujikinga kama shati lamikono mirefu, suruali ndefu na gambuti za raba,unapoturnia dawa hii... . .--

. Baada ya kutumla dawa hI! oga mW111na ubshe ngu6zako za kazi.

KUHIFADHIHifadhi ndani ya chombo chake halisi kilichofungwa vizurimbali na watoto, chakula, vinywaji na chakula cha mifugo.Hifadhi dawa hii mahali baridi, pakavu na panapopitishahewa safi, na palipo fungwa na kufuli. Hepuka kuwekakwenye mwangaza mkali wa jua. Ikiwa MICROTHIOLSPECIAL DISPERSS itahifadhiwakatika hali hii mudawakewa kudumu ni miaka 2.

KUTUPADawa ya ziada kama haikutumika itupwe kwenye jaaliIiloidhinishwala kutupa madawa ya sumu ya kuangamizamagonjwa na wadudu waharibifu, ama izikwe mahalisalama mbali na vyanzo vya maji. Usitumie chombokili"hnkwic:h<lrl<lW<Ikw<lm<lhom;7imf'mninAvovotA. Vvomho

DosageCrop Kg/ha Gm/20 ItwaterFrench beans 2-4 40-80Cucumber 2-4 40-80Tomato 2-4 40-80Roses 2-4 40-80

Kiwanao cha MatumiziMmea Kilo kwa hektari Gramu kwa lita

20 za maiiFrench beans 2-4 40-80

Cucumber 2-4 40-80

Nyanya 2-4 40-80

Waridi 2-4 40-80

Page 2: (COMMERCIAL & AGRICULTURAL CLASS) (KUNDI LA

in a safe place or put it in a waste bin or a plastic bag,mark it and dispose off on a landfill site approved forpesticides. Contaminated sawdust to be burnt awayfrom human dwellings. Clean spilled area with plenty ofwater. Spilt product must not be re-used.

ENVIRONMENT AND WILDLIFEThis product is moderately toxic to fish. Do not contami-nate water sources and supplies by disposal of productwaste.Keep livestock out of treated areas.

FIRST AID INSTRUCTIONSIn case of eye contact: Flush the eyes with runningwater for at least 15 minutes while holding eyelids opento help flush out material. Contact a physicianimmediately.In case of skin contact: Wash contaminated skin with

soap and plenty of water. Remove contaminatedclothing. If skin irritation persists, contact a physicianimmediately.In case of inhalation: Remove the patient away fromcontaminated area and place the patient in a well-ventilated area and give artificial respiration. Keepwarm and at rest. Consult a doctor.

In case of ingestion: If small amount is swallowed,drink plenty of water and induce vomiting. Repeat untilfluid is clear. If a large amount is ingested (i.e. onemouthful), induction of vomiting should be considered ifpatient is fully conscious and less than 30 minutes haselapsed since ingestion. Never give anything by mouthto an unconscious person. Contact a physicianimmediately.TOXICOLOGIAL INFORMATION

Symptoms of poisoning: Non-specific.

AntidoteNo specific antidote is known.Notice to the physicianApply symptomatic and supportive therapy.

In caseof an emergency,callTollfree Nos:0800720021and 0800730030(24hrs)

NOTICE TO USERThis pest control product is to be used only inaccordance with the directions on this label. Itis an offense under the Pest Control ProductsAct to use or store a pest control product underunsafe conditions.

WARRANTYSeller's guarantee is limited to the terms set outon the label and subject thereto, the buyerassumes the risk to persons or property arisingfrom the use or handling of this product andaccepts the product on that condition.

KEEPLOCKEDAWAYFROMCHILDREN,FOOD,DRINKSANDLIVESTOCKFEED-STUFFS.

WEKAMBALINAWATOTO,CHAKULA,VINYWAJINAVYAKULAVYAMIFUGO.

SHELF LIFE: 2 years from date of manufacture in original, unopenedcontainer stored in a cool dry well ventilated place.

MUDA RAFUNI: Miaka miwili baada ya tarehe ya kutengenezwaikihifadhiwa kwenye mtungi wake halisi usiofunguliwana uliowekwapahalipakavuna baridi.

In case of an emergency, call Toll free Nos (Wakati wa dharura, pigasimu bila malipo): 0800720021 and 0800730030 (24hrs -masaa 24)

MEMBEROF ~AGROCHEMICALS~ASSOCIATION OF KENYA

REGISTRATION NUMBER 102

c REGISTRANTANDMANUFACTURER:(MSAJILINAMTENGENEZAJI)cerexagris.a1ruedesFreresLumiereS.P.9 78373PLAISIRCedFrancecerexagri

<U> United Phosphorus Ltd

~TWIGACHEMICALS

5KG

-- --::..

~ ~

Ondoa mchanga wa juu uliongia dawa na uuzike pahalisalama mbali na vyanzo vya maji.

Ikimwagika: Kusanya kwa makini vitu vilivyo ingia dawa nauvizike pahali salama ama tupa ndani ya pipa au mifuko yaplastiki, weka alama na utupe ndani ya shimo la kutupamadawa ya sumu liIiloidhinishwa. Safisha kwa maji eneoliIilomwagikiwa na dawa. Dawa iliyomwagika isitumiwetena.

MAZINGIRA NA MBUGA ZA WANYAMADawa hii aina madhara kwa samaki. Hata hivyo usichafuenjia za maji kwa kutupa ndani uchafu wa dawa. Wekamifugo mbali na maeneo yaliyowekwa dawa. MICRO-THIOL SPECIAL DISPERSS haiwadhuru wadudu wenyemanufaa kama vile nyuki ikiwa itatumiwa kulingana na kiasikilichopendekezwa.

MAAGIZO YA HUDUMA YA KWANZAMICROTHIOL SPECIAL DISPERSS ni sumu ikiwaitamezwa au kuvutwa ndani. Kama unashuku sumu, itadaktari mara moja.

Ikiwa imeingia ndani ya macho: Osha macho na majimengi kwa angalau dakika 15. Ikiwa mwasho utaendelea,wasiliana na daktari mara moja.

Ifriwa imegusa ngozi: Osha ngozi ilio ingia dawa kwasabuni na maji mengi. Toa nguo zilizomwagikiwa na dawa.Ikiwa mwasho wa ngozi utaendelea, onana na daktari maramoja.

Ikiwa mvuke wa dawa hii umevutwa ndani ya mapafu:Mwondoe mgonjwa kutoka kwenye eneo lililo na sumU naumweke mgonjwa mahali penye hewa safi na umpe usaidiziwa kupumua. Mweke kwenye joto la kadiri na katika hali yakupumzika. Pata ushauri wa daktari.

Kama imemezwa: Ipunguze nguvu ya dawa iliyomezwaharaka kwa kumnywesha mgonjwa maji mengi. Mfanyeatapike kwa uangalifu ili kuzuia matapiko kuingia kwenyemapafu. Kamwe usimlishe mtu aliyepoteza fahamu kituchochote kupitia mdomoni. Muone daktari haraka.

ya kuvunja nguvu

ILANI KWA MTUMIAJIDawa hii ni sharti itumiwe kulingana na maagizoyaliyo kwenye kibandiko. Ni hatia chini ya sheriaza madawa kutumia au kuhifadhidawa hiikatika hali isiyo salama.

THIBITISHODhamana ya muuzaji ni maelezo yaliyo kwenyekibandiko ambayo ni lazima yafuatwe kikamilifu.Mnunuzi lazima akubali hatari zozote zinazowezakutokana na matumizi ya dawa hii kwa binadamuau mali na lazima aikubali dawa hii katika hali hiyo.

DATE OF MANUFACTURE BATCH NO.: (NA(TAREHE YA NAMBARIKUTENGENEZWA) YA KIFURUSHI)