Swahili B Standard level Paper 1 Swahili B Niveau moyen ... PAST PAPERS - YEAR... · Candidate...

12
Candidate session number Numéro de session du candidat Número de convocatoria del alumno N15/2/ABSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/Q Swahili B – Standard level – Paper 1 Swahili B – Niveau moyen – Épreuve 1 Swahili B – Nivel medio – Prueba 1 © International Baccalaureate Organization 2015 9 pages/páginas 8815 – 2318 Question and answer booklet – Instructions to candidates Write your session number in the boxes above. Do not open this booklet until instructed to do so. This booklet contains all the paper 1 questions. Refer to the text booklet which accompanies this booklet. Answer all of the questions in the boxes provided. Each question is allocated [1 mark] unless otherwise stated. The maximum mark for this examination paper is [45 marks]. Livret de questions et réponses – Instructions destinées aux candidats Écrivez votre numéro de session dans les cases ci-dessus. N’ouvrez pas ce livret avant d’y être autorisé(e). Ce livret contient toutes les questions de l’épreuve 1. Référez-vous au livret de textes qui accompagne ce livret. Répondez à toutes les questions dans les cases prévues à cet effet. Sauf indication contraire, chaque question vaut [1 point]. Le nombre maximum de points pour cette épreuve d’examen est de [45 points]. Cuaderno de preguntas y respuestas – Instrucciones para los alumnos Escriba su número de convocatoria en las casillas de arriba. No abra este cuaderno hasta que se lo autoricen. Este cuaderno contiene todas las preguntas de la prueba 1. Consulte el cuaderno de textos que acompaña a este cuaderno. Conteste todas las preguntas en las casillas provistas. Cada pregunta vale [1 punto] salvo que se indique lo contrario. La puntuación máxima para esta prueba de examen es [45 puntos]. 1 h 30 m Monday 9 November 2015 (afternoon) Lundi 9 novembre 2015 (après-midi) Lunes 9 de noviembre de 2015 (tarde) 12EP01

Transcript of Swahili B Standard level Paper 1 Swahili B Niveau moyen ... PAST PAPERS - YEAR... · Candidate...

  • Candidate session numberNuméro de session du candidat

    Número de convocatoria del alumno

    N15/2/ABSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/Q

    Swahili B – Standard level – Paper 1Swahili B – Niveau moyen – Épreuve 1Swahili B – Nivel medio – Prueba 1

    © International Baccalaureate Organization 20159 pages/páginas8815 – 2318

    Question and answer booklet – Instructions to candidates

    • Write your session number in the boxes above.• Do not open this booklet until instructed to do so.• This booklet contains all the paper 1 questions.• Refer to the text booklet which accompanies this booklet.• Answer all of the questions in the boxes provided. Each question is allocated [1 mark] unless

    otherwise stated.• The maximum mark for this examination paper is [45 marks].

    Livret de questions et réponses – Instructions destinées aux candidats

    • Écrivez votre numéro de session dans les cases ci-dessus.• N’ouvrez pas ce livret avant d’y être autorisé(e).• Ce livret contient toutes les questions de l’épreuve 1.• Référez-vous au livret de textes qui accompagne ce livret.• Répondez à toutes les questions dans les cases prévues à cet effet. Sauf indication

    contraire, chaque question vaut [1 point].• Le nombre maximum de points pour cette épreuve d’examen est de [45 points].

    Cuaderno de preguntas y respuestas – Instrucciones para los alumnos

    • Escriba su número de convocatoria en las casillas de arriba.• No abra este cuaderno hasta que se lo autoricen.• Este cuaderno contiene todas las preguntas de la prueba 1.• Consulte el cuaderno de textos que acompaña a este cuaderno.• Conteste todas las preguntas en las casillas provistas. Cada pregunta vale [1 punto] salvo que

    se indique lo contrario.• La puntuación máxima para esta prueba de examen es [45 puntos].

    1 h 30 m

    Monday 9 November 2015 (afternoon)Lundi 9 novembre 2015 (après-midi)Lunes 9 de noviembre de 2015 (tarde)

    12EP01

  • N15/2/ABSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/Q– 2 –

    Kifungu A — Juhudi zahitajika kuhifadhi mazingira

    Jibu maswali yafuatayo. Tumia aya ya hadi .

    1. Taja sherehe moja ambayo ilisherehekewa vyema kuliko Siku ya Mazingira duniani.

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    2. Ni sentensi gani inayoonyesha kuwa Siku ya Mazingira haijapewa nafasi ya kutosha duniani?

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    3. Ni kifungu gani kinachoonyesha kuwa watu hawajali athari zinazotokana na maangamizi ya/uharibifu wa mazingira?

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    Linganisha sehemu ya kwanza ya sentensi na mwisho mwafaka katika upande wa kulia. Andika herufi sahihi katika kisanduku ulichopewa. Tumia aya ya na kwa majibu yako.

    Mfano: Hali mbaya ya hewa… I

    4. Hapa Kenya, matukio ya ukame na mafuriko…

    5. Athari na uharibifu wa mazingira…

    6. Watu wengine wanadai matukio mabaya…

    7. Magonjwa kadhaa hukumba…

    A. jamii yoyote ile inayokabiliwa na njaa.

    B. tatizo la njaa ni la bara Afrika.

    C. Afrika ni bara lenye magonjwa.

    D. tatizo la njaa si la kawaida barani Afrika.

    E. hutokea barani Afrika pekee.

    F. ni laana kwa mataifa barani Afrika.

    G. hutokea barani Afrika na hata katika mataifa mengine duniani.

    H. hutokea bila kutazamiwa.

    I. hufanya sehemu nyingi duniani kupatwa na shida ya njaa.

    J. haiharibu mazao ya chakula.

    12EP02

  • N15/2/ABSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/Q– 3 –

    Turn over / Tournez la page / Véase al dorso

    Kauli zifuatazo zilizopo hapa chini ni kweli (K) au si kweli (S) kulingana na aya ya hadi . Chagua jibu mwafaka. Kama ni kweli andika [K] na kama si kweli andika [S] kwenye kisanduku pembeni mwa kila sentensi. Thibitisha jibu lako kwa kunukuu sehemu mwafaka kutoka kwa kifungu. Majibu yote mawili yanatakikana kwa alama moja. Ya kwanza imetolewa kama mfano.

    Kweli Si kweli

    Mfano: Mtu asiyepata chakula anaweza kuwa mgonjwa kwa haraka sana. K

    Thibitisho: . . . . Anayekosa chakula huwa rahisi kuugua au kulemewa na ugonjwa. . .

    8. Njaa na maradhi yanapompata binadamu yeye hupoteza uwezo wa kutafuta mahitaji yake.

    Thibitisho: . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    9. Hakuna uhusiano kati ya ukosefu wa chakula, maradhi na uharibifu wa mazingira.

    Thibitisho: . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    10. Uchafu hauathiri afya ya binadamu kwa vyovyote vile.

    Thibitisho: . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    11. Ni wajibu wa kila mtu kulinda uhai wake kwa kutunza mazingira.

    Thibitisho: . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    Jibu swali lifuatalo. Zingatia aya ya kwa jibu lako.

    12. Ni neno gani katika kifungu humaanisha zinazofaa?

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    12EP03

  • N15/2/ABSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/Q– 4 –

    Kifungu B — Warembo wa Miss Universe Tanzania 2014 waanza kambi Kamilisha jedwali lifuatalo kwa kuonyesha ni nani au nini neno/maneno yaliyopigiwa mstari yanarejelea. Tumia aya ya hadi kwa majibu yako.

    Katika kifungu… neno/ maneno… linarejelea/yanarejelea…

    Mfano: …wameanza rasmi kambi… (aya ya ) “wameanza” . . . . . . . . . . . . . warembo . . . . . . . . . . .

    13. …pia imeandaa mafunzo mbalimbali kwa ajili ya kuwapa warembo ili kujitambua… (aya ya )

    “imeandaa” . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    14. …yatakuwa yakitolewa na wataalamu mbalimbali… (aya ya )

    “yatakuwayakitolewa” . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    15. …wa mwaka huu umefanyika katika mikoa mitano… (aya ya ) “umefanyika” . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    16. …ya Tanzania ambayo ni Arusha, Mwanza, Mbeya, Iringa na Dar es Salaam… (aya ya )

    “ambayo” . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    12EP04

  • N15/2/ABSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/Q– 5 –

    Turn over / Tournez la page / Véase al dorso

    Jibu maswali yafuatayo. Zingatia aya ya kwa majibu yako.

    17. Taja sifa yoyote moja ya mrembo atakayechaguliwa.

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    18. Kulingana na kifungu hiki, taja aina moja ya warembo wanaoshiriki katika mashindano haya ya urembo.

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    19. Ni sentensi gani inayoonyesha kuwa Maria Sarungi Tsehai na wenzake walikuwa na furaha?

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    20. Kutokana na kauli A hadi H, chagua sentensi tatu ambazo ni sahihi kulingana na kifungu B. Andika herufi mwafaka kwenye kisanduku ulichopewa. Tumia aya ya na . [Alama 3]

    Mfano: A

    A. Mshindi wa Miss Universe Tanzania, atafanya kazi ya kijamii na kunadi bidhaa kadhaa isitoshe atapewa hela kamili.

    B. Mshindi wa Miss Universe Tanzania, atanadi bidhaa kadhaa, atafanya kazi ya jamii na hatapata pesa taslimu.

    C. Kama ilivyo desturi mshindi wa mwaka huu atapewa nafasi ya masomo Marekani.

    D. Mashindano ya Miss Universe Tanzania ya mwaka huu yamedhaminiwa na makampuni maarufu.

    E. Mashindano ya Miss Universe Tanzania yamedhaminiwa na makampuni machache maarufu.

    F. Makampuni maarufu hayajasaidia vijana kupata riziki yao ya kila siku.

    G. Vijana wengi sasa wanajimudu kimaisha baadaya ya kusaidiwa na makampuni maarufu.

    H. Vijana wachache sasa wanajimudu baada ya kupata msaada wa makampuni maarufu kutafuta kazi.

    12EP05

  • N15/2/ABSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/Q– 6 –

    Kifungu C — Madereva wa mabasi ya wanafunzi kuweni makini

    Chagua jibu mwafaka. Andika herufi kwenye kisanduku ulichopewa. Tumia aya ya kwa majibu yako.

    21. “Linalostahili kuchukuliwa hatua” ina maana gani?

    A. Lishughulikiwe haraka B. Lifanyiwe marekebisho C. Lipelekwe mbele D. Lisipelekwe popote

    Linganisha kila mojawapo wa meneno yafuatayo kutoka kwa kifungu na neno mwafaka linalokaribiana maana nalo. Andika herufi kwenye kisanduku ulichopewa. Tumia aya ya kwa majibu yako.

    Mfano: kinachosikitisha B

    22. makini

    23. fujo

    24. taratibu

    A. mwendo

    B. kinachoudhi

    C. kanuni

    D. uangalifu

    E. barabara

    F. ustadi

    G. msukosuko

    H. kinachoshangaza

    Jibu maswali yafutayo. Tumia aya ya na kwa majibu yako.

    25. Taja jambo moja ambalo madereva wa mabasi ya shule wamekuwa wakifanya kinyume cha wanavyopaswa.

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    26. Ni kifungu gani cha maneno kinachoonyesha madereva wanaweza kutafuta njia ya kuhepa mlolongo wa magari?

    . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    12EP06

  • N15/2/ABSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/Q– 7 –

    Turn over / Tournez la page / Véase al dorso

    Ni maneno yapi yanaweza kujaza mapengo katika aya ya ? Chagua maneno kwenye orodha uliyopewa na kisha uyaandike hapo chini.

    ajali madereva matatizo mikakati shule

    hatia madhubuti mibaya sheria ukuta

    Mfano: [ – X – ] . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . shule . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    27. [ – 27 – ] . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    28. [ – 28 – ] . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    29. [ – 29 – ] . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    30. [ – 30 – ] . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    12EP07

  • N15/2/ABSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/Q– 8 –

    Kifungu D — Utalii ukiangamia uchumi matatani

    Tafuta neno katika upande wa kulia ambalo linaweza kuchukua nafasi ya neno moja kati ya yaliyo katika upande wa kushoto. Kumbuka kuna majibu zaidi kuliko yale yanayostahili. Tumia aya ya na kwa majibu yako.

    31. kuzuru

    32. ikashamiri

    33. yanayoshuhudiwa

    34. mbinu

    35. kushutumu

    A. ikaathiri

    B. ikaenea

    C. kulaumu

    D. yanayotambuliwa

    E. wazi

    F. yanayotendeka

    G. njia

    H. kulibadilisha

    I. mawazo

    J. kutembelea

    Chagua jibu sahihi kutoka kwa A, B, C, D. Andika herufi ya uchaguzi wako katika kisanduku. Tumia aya ya hadi kwa majibu yako.

    36. Masuala yanayoiathiri yanafaa “kushughulikiwa kwa makini” ina maana gani?

    A. Kwa utulivu wa fikira B. Kwa haraka C. Polepole D. Kwa amani

    37. Ni nini kinaonyesha kuwa sekta ya utalii inazidi kuharibika?

    A. Faida yake ilipunguka kwa kiasi kikubwa. B. Idadi ya watalii ilishuka. C. Mapato yake yalipanda. D. Kiungo hiki muhimu hakikupunguka uzito.

    38. Ili kuimarisha sekta ya utalii serikali…

    A. ishughulikie usalama pekee. B. ishughulikie usalama na ujangili pekee. C. ishughulikie usalama, ujangili na kuwaalika watalii. D. ishughulikie usalama na kulipisha ushuru wa chini kama kivutio.

    12EP08

  • N15/2/ABSWA/SP1/SWA/TZ0/XX/Q– 9 –

    Jibu swali lifutalo. Tumia aya ya kwa majibu yako.

    39. Taja mambo mawili ambayo serikali inafaa kufanya ili kuimarisha sekta ya utalii. [Alama 2]

    (a) . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    (b) . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

    Linganisha sehemu ya kwanza ya sentensi na mwisho mwafaka katika upande wa kulia. Andika herufisahihi katika kisanduku ulichopewa. Zingatia aya ya hadi kwa majibu yako.

    40. Mpango wa visa vya pamoja Afrika Mashariki…

    41. Mradi wa “Tembea Kenya”…

    42. Serikali za Kaunti…

    A. unakusudiwa kurai wananchi wa Kenya kutalii sehemu mbalimbali nchini.

    B. una shabaha ya kuondoa pingamizi ya watu wanaotembelea Kenya kutoka mataifa jirani.

    C. una shabaha ya kuleta pingamizi za utalii.

    D. ni mpango mzuri wa kutalii sehemu maalum Kenya.

    E. zinastahili kuboresha utalii katika maeneo yao kwa kutoa nafasi tele za utalii.

    F. zinastahili kuboresha utalii nchini kwa kutoa huduma bora zaidi.

    12EP09

  • Please do not write on this page.

    Answers written on this page will not be marked.

    Veuillez ne pas écrire sur cette page.

    Les réponses rédigées sur cette page ne seront pas corrigées.

    No escriba en esta página.

    Las respuestas que se escriban en esta página no serán corregidas.

    12EP10

  • Please do not write on this page.

    Answers written on this page will not be marked.

    Veuillez ne pas écrire sur cette page.

    Les réponses rédigées sur cette page ne seront pas corrigées.

    No escriba en esta página.

    Las respuestas que se escriban en esta página no serán corregidas.

    12EP11

  • Please do not write on this page.

    Answers written on this page will not be marked.

    Veuillez ne pas écrire sur cette page.

    Les réponses rédigées sur cette page ne seront pas corrigées.

    No escriba en esta página.

    Las respuestas que se escriban en esta página no serán corregidas.

    12EP12