STYLISH MODERNBASIC FASINATE EXOTIC CAMOUFLAG · fasinate exotic camouflag stylish modernbasic...

11

Transcript of STYLISH MODERNBASIC FASINATE EXOTIC CAMOUFLAG · fasinate exotic camouflag stylish modernbasic...

Page 1: STYLISH MODERNBASIC FASINATE EXOTIC CAMOUFLAG · fasinate exotic camouflag stylish modernbasic inspire fresh sour-spicy unique pioneer vivid vogue brilliant art nouveau smart beautiful

????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????? PVC ?????? ?????????????????????????????????????????????????????????????????????????????? ???????????????????????????????????? ?????????????????????????? CTP (computer-to-plate)

???? 290 ???

ISBN 974-94803-1-7

9 789749 480311

???? ?????????????????

COLOSCHEMES

STYLISH CISABCITOXE MODERNCAMOUFLAGFASINATE

PIONEERFRESH UNIQUESOUR-SPICYINSPIRE

ART NOUVEAUVOGUE BRILLIANT SMARTVIVID

ART DECOGORGEOUS MODESTPOWERFULBEAUTIFUL

DECOR INDYEXPLORERPROGRESSIVEFASHION

High Quality Book

c r e a t iv e

Page 2: STYLISH MODERNBASIC FASINATE EXOTIC CAMOUFLAG · fasinate exotic camouflag stylish modernbasic inspire fresh sour-spicy unique pioneer vivid vogue brilliant art nouveau smart beautiful

Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni ndiyo Makumbusho kubwa nchiniTanzania. Makumbusho ndiyo mwenyeji wa onyesho ‘Macheo Ya Ubunifu’, onyesho juu ya sanaa ya michoro ya miambani Afrika. TARA na Idara ya Elimu ya Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni imepanga mipango ya kufurahisha na kusisimua kwa makundi ya shule ili waweze kujifunza juu ya urithi wa utamaduni wa sanaa ya michoro ya miambani. Makumbusho pia hutoa habari juu ya urithi wa asili na utamaduni kwa umma kwa ujumla hasa shule na vyuo kupitia maonyesho na utoaji wa vifaa vyakujifunzia.

•WO

RLD

HERITAGE • PATRIMOIN

EM

ON

DIA

L•

PATR

IMONIO MUNDIAL

World Heritage Centre

In cooperation with

United NationsEducational, Scientific and

Cultural Organization

P.O. Box 24122 - 00502 Nairobi, KenyaTel: +254-20-3884467/3883735 • Fax: +254-20-3883674

Email: [email protected] www.africanrockart.org

Picha ni © David Coulson/ TARA isipokuwa kama imetambuliwa vinginevyo.

Maandishi: Emily N. Mwangi. Tafsiri: Dr. Audax Mabulla. Uratibu: Gloria K. Borona na Terry Little.

Sanifu na mpangilio: Richard Wachara.

ISBN9966-7453-0-0 © 2011 TARA

TRUST FOR AFRICAN ROCK ART

TARA na Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni, Dar es SalaamUtangulizi juu ya Sanaa ya Michoro ya Miambani AfrikaSanaa ya MiambaniUhifadhi wa Sanaa ya MiambaniNchi za Afrika zenye Maeneo ya Sanaa ya MiambaniChemsha Bongo Kurasa za Burudani

YALIYOMO

www.africanrockart.org 1

KUHUSU TARA

UKURASA WA JALADAJuu kushoto: Mwamba wenye michoro picha mieupe juu ya paa la mwamba, PahiJuu kulia: Mchoro picha mweupe wa twiga, KondoaKati kushoto: Michoro picha mieupe jiometriki, KondoaKati kulia: Mchoro picha wa paa, KondoaChini kushoto: Mchoro picha rangi nyekundu ya wanyama na mtu na rangi nyeupe ya jometriki.Chini kulia: Michoro picha ya wanawake wakicheza wameshikana mikono, Kondoa

Uchapishaji wa kitabu hiki umetokana na ukarimu na msaada wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani, Dar es Salaam, kupitia shirika la Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni, Dar es Salaam.

1.

2.

5.6.8.

10.12.

TARA ni Tasnia ya Sanaa ya Michoro ya Miambani Africa. Ni kundi la watu ambao wanataka kupata michoro ya miambani, kuwafundisha wengine juu yake, na kusaidia kuilinda. TARA inataka kila mtu pamoja na watoto wa Afrika, na duniani kote, kujua michoro ya miambani ni nini, kwa nini ni ya muhimu, na kwa nini tusiiharibu. TARA inataka kuchukua picha nyingi za michoro ya miambani iwezekanavyo ili kwamba, endapo michoro ya halisi itaharibika, watu wanaweza kuona picha. TARA ilianzishwa mwaka 1996 na David Coulson, ambaye ni mpiga picha, akisaidiwa na Dr. Mary Leakey, mmoja wa wataalamu wa mambo ya kale/akiolojisti (archaeologist). Sasa TARA inafanya kazi na Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni kuwaelimisha watoto juu ya michoro ya miambani.

TARA NA MAKUMBUSHO YA TAIFA NA NYUMBA YA UTAMADUNI, DAR ES SALAAM

Mchoro picha wa mtu anyepaa juu Kondoa, Tanzania

Makumbusho ya Taifa na Nyumba ya Utamaduni, Dar es Salaam

www.houseofculture.or.tz

Page 3: STYLISH MODERNBASIC FASINATE EXOTIC CAMOUFLAG · fasinate exotic camouflag stylish modernbasic inspire fresh sour-spicy unique pioneer vivid vogue brilliant art nouveau smart beautiful

Je wamjua

Kofi Annan na Nelson

Mandela ni nani

Soma walichosema

kuhusu watoto na sanaa

ya miambani..

David Coulson, Mwenyekiti Mtendaji, TARA

Kidokezi cha uhifadhi: Ukitembelea

eneo la sanaa ya miambani, usimwage

vimiminika kwenye michoro nakshi na

picha! Hii huharibu picha na nakshi na

uharibifu huu hauwezi kutanguliwa.

UTANGULIZI JUU YA SANAA YA MICHORO YA MIAMBANI AFRIKA

www.africanrockart.org2 www.africanrockart.org 3

Mchoro nakshi wa Mamba, Libya

Muda mrefu uliopita, duniani kote, watu walikuwa wanachora na kunakshi (kuchonga) picha kwenye miamba katika maeneo ambayo waliishi. Katika Afrika, picha ziliwakilisha zaidi wanyama na watu, na pia maumbo. Mara chache sana wasanii walichora mimea; kamwe hawakuchora milima na mito. Kimtazamo, kwa jinsi picha zilivyowekwa katika kile kinachoweza kuwa mandhari, ni tofauti na kile tunachoweza kuchora leo.Picha za kale ambazo tunaweza kuona leo zinaweza kuwa na umri wa miaka 10,000. Unapoangalia picha katika kijitabu hiki, kumbuka kwamba wale wasanii wa kale hawakujua kusoma wala kuandika kama sisi leo.Inatufanya sisi tusitaajabu jinsi gani waliweza kuchora kwa usahihi na kunakishi kwa ustadi namna hiyo. Ni lazima pia tukumbuke kuwa sanaa ya kuchora na kunakishi miambani ilikuwa njia ya kale ya mawasiliano, kwa sababu wasanii walikuwa wakieleza jamii zao jinsi walivyokuwa wanaiona dunia. Sanaa hii ni urithi wetu, ni sehemu ya chimbuko letu katika nchi hii. Ni lazima tuitunze ili kwamba watoto wetu na watoto wa watoto wetu wapate pia kuona, kujifunza na kuifurahia.

Viongozi wa Afrika na Sanaa ya MiambaniKofi Annan (kulia) na Nelson Mandela (kushoto) ni baadhi ya viongozi muhimu zaidi wa kiAfrika duniani. Hapa ni kile walichokisema kuhusu sanaa ya miambani: Kofi Annan: “Kwa watoto wa Afrika, napenda kusema, wewe ndiwe wakati ujao wa Afrika. Jifunze fahari ya historia yako na linda sanaa ya michoro ya miambani ya Afrika”.Nelson Mandela: “Sanaa ya michoro ya miambani ya Afrika ni urithi wa Waafrika wote, lakini ni zaidi ya hapo. Ni urithi wa jamii ya wanadamu wote”.

JE SANAA YA MIAMBANI NI NINI?Sanaa ya miambani ni picha zilizochorwa juu ya miamba mamia au maelfu ya miaka iliyopita. Hii ina maana kwamba muda mrefu uliopita, wakati watu walitaka kuchora au kupaka rangi, walifanya hivyo kwenye miamba - kwa sababu hawakuwa na karatasi, penseli au kalamu za wino. Sanaa ya miambani yaweza kufanywa kwa kuchora kwenye miamba na hii huitwa Picha za Miambani. Watu walitengeneza pigmenti (rangi za asili) zao wenyewe kwa kutumia vifaa mbalimbali kama vile mkaa, miamba laini, ukaria (udongo mwekundu, njano au kahawia) na vitu vingine vikavu. Watu walivisaga vitu hivi kwa mawe na kufanya pigmenti. Pigmenti ni poda kavu, na ikichanganywa na vimiminika kama damu, maziwa, mafuta na utomvu wa miti inakuwa rangi. Vimiminika vinavyotumika kuchanganya pigmenti hujulikana kama vigandamizi (vijalidi) kwa sababu husaidia pigmenti kugandamizwa kwenye mwamba. Baada ya kuchanganya rangi waliyotengeneza nyumbani kwao, watu wa kale walitumia vidole vyao, vijiti, nywele za wanyama au manyoya kuchora miambani.

Sanaa ya miambani pia yaweza kufanywa kwa kunakshi (kuchonga) kwenye miamba na hii huitwa Nakshi za Miambani. Muda mrefu uliopita, watu walitumia vitu vigumu na vya ncha kali kunakshi (kuchonga) na kukwaruza kwenye miamba. Wakati mwingine walitumia miamba mingine au visu mawe. Baadhi ya watu walichora mchoro picha kwanza na kisha kunakshi kwenye mistari.

Mchoro picha wa duara kitovu shirika wa kisiwa cha Mfangano, Ziwa Victoria, Kenya

Mchoro picha wa watu wanne wamemshikilia mtu wa tano, Tanzania

Page 4: STYLISH MODERNBASIC FASINATE EXOTIC CAMOUFLAG · fasinate exotic camouflag stylish modernbasic inspire fresh sour-spicy unique pioneer vivid vogue brilliant art nouveau smart beautiful

JE SANAA YA MIAMBANI YATUAMBIA NINI? SANAA YA MIAMBANI

www.africanrockart.org4 www.africanrockart.org 5

Sanaa ya miambani ni ya muhimu kwa sababu inatupa wazo la kile kilichotokea muda mrefu uliopita. Wakati unaangalia mchoro wa picha na nakshi, unaweza kuona wanyama, watu na maumbo. Tunajiuliza sisi wenyewe maswali kadhaa: • Nini maana ya picha?• Kwa nini wasanii walizitengeneza? • Je, watu walitumia picha kwa sababu ambazo zimesahaulika muda mrefu?Haya ni maswali ambayo ni vigumu kujibu. Tunaweza tu kudhani majibu na hatuwezi kamwe kuwa na uhakika kama madhanio yetu ni sahihi.Angalia mchoro nakshi wa twiga (juu kulia) unaopatikana katika nchi inayoitwa Niger, Afrika Magharibi. Asilimia 80% ya nchi hii imefunikwa na jangwa kubwa zaidi katika Afrika liitwalo Jangwa la Sahara.Kulia kati: Picha ya twiga toka hifadhi ya Taifa ya SerengetiTwiga, mnyama mrefu zaidi duniani. Twiga ni mchoro picha ambayo huchorwa kwa wingi katika sanaa ya miambani Afrika. Kwa nini twiga huchorwa kwa wingi hivyo?Hatujui jibu, lakini tunadhani michoro picha twiga inaweza kuwa na uwakilishi wa mnyama na nini maana ya twiga katika jamii yao. Kusini mwa Afrika, Bushimen (pia wanajulikana kama San) huamini kwamba twiga anahusiana na mvua na wingi.Angalia picha hii nyingine, Unaona nini?

Mchoro wa picha hii inaonyesha mtu akiwa na upinde na mshale. Pia tunaona tandala. Mchoro picha hii inapatikana Tanzania. Inatuonyesha mwanamme akijaribu kumtupia mshale tandala, na hii inatuambia kwamba watu waliwinda tandala tangu muda mrefu uliopita.Unajua tandala ni nini? Tandala ni paa mkubwa wa Afrika, ambaye kwa sasa hupatikana hifadhi ya Taifa ya Gombe, Tanzania.

Mahali ambapo sanaa ya michoro picha na nakshi inapatikana inajulikana kama mahali penye sanaa ya miambani. Sanaa ya michoro ya miambani inapatikana duniani kote. Wanasayansi wanaweza kukadiria umri wa sanaa ya michoro kwa kuangalia michoro inayofanana ambayo tayari umri wake umepimwa. Kwa mfano, kama mwanasayansi anaona kwamba picha moja inafanana na nyingine, anaweza kuamini kwamba picha hizo zilitengenezwa na watu mlandano na kwa wakati mmoja. Aina hii ya kupima umri hufanya kazi vizuri endapo mahali penye sanaa ya miambani iko karibu. Mwaka ambao uchoraji picha au nakshi ulifanyika unajulikana kama umri wake. Kupata umri kamili ambao sanaa ilifanyika ni vigumu kweli kweli na kwa sababu hiyo basi wanaakiolojia na wanaanthropolojia kwa kawaida hukadiria umri. Kadirio la umri ni kama kusema miaka 1,000 na 2,000 iliyopita. Kupata umri wa sanaa ni muhimu kwa sababu inaweza kutusaidia kujua watu ambao waliichora.Mwanaakiolojia (sema “aki olo jia”) ni mtaalamu wa elimukale, mtu anayesoma na kutafiti vitu na maeneo ya kale ili kujua jinsi gani watu wa kale waliishi.Mwanaanthropolojia (sema “an thro po lo jia”) ni mtaalamu wa elimu ya binadamu, mtu anayesoma na kutafiti asili na mabadiliko ya watu na tamaduni zao.Mpiga picha ni mtu ambaye anachukua picha kwa kutumia kamera.Angalizo: Wanaakiolojia na wanaanthropolojia pia hujaribu kujua lini sanaa ya michoro ya miambani ilichorwa na ni nani aliichora (mtu ambaye hufanya anaitwa msanii).Wasanii wanaohusishwa na sanaa ya michoro ya miambani Tanzania ni waHadza, waSandawe na waBushmeni.

Tanzania imepakana na Kenya na Uganda upande wa kaskazini, Rwanda na Burundi upande wa magharibi na Zambia, Malawi na Msumbiji upande wa kusini. Masalia ya mtu wa kale (zamadamu) yanapatikana Bonde la Olduvai kaskazini mwa nchi. Hii ina maana kuwa Tanzania ni moja ya maeneo yanayojulikana ambapo watu wa kale waliishi. Tanzania ilipata uhuru mwaka 1960 na ni maskani ya makabila zaidi ya 100 na kabila mojwapo maarufu ni Wamasai. Tanzania ni tajiri wa urithi wa asili na utamaduni, ikiwa na maeneo saba ambayo yako kwenye urithi wa dunia. Eneo la urithi wa dunia ni eneo ambalo Umoja wa Mataifa Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) imeona kuwa ni la muhimu sana siyo tu kwa nchi moja lakini kwa dunia nzima.

Maeneo ya Urithi wa Dunia Tanzania ni:

• Hifadhi ya Ngorongoro

• Magofu ya Kisiwa cha Kilwa na Songo Mnara

• Hifadhi ya Serengeti

• Pori la Akiba la Wanyama Selous

• Hifadhi ya Kilimanjaro

• Mji Mkongwe Zanzibar

• Michoro ya Miambani Kondoa.

MAENEO YA URITHI WA DUNIA TANZANIA

Baadhi ya michoro picha nzuri za miambani Afrika kupatikana Kondoa,Tanzania.

Ramani inaonyesha maeneo ya sanaa ya miambani, Tanzania

Kidokezi cha uhifadhi:

Ukitembelea eneo la sanaa ya miambani, usiguse michoro kwa

sababu vidole vyako huacha jasho na mafuta kwenye michoro,

ambavyo haviwezi kuondolewa baadaye.

Page 5: STYLISH MODERNBASIC FASINATE EXOTIC CAMOUFLAG · fasinate exotic camouflag stylish modernbasic inspire fresh sour-spicy unique pioneer vivid vogue brilliant art nouveau smart beautiful

UHIFADHI WA SANAA YA MIAMBANI

www.africanrockart.org 7www.africanrockart.org6

Kidokezi cha uhifadhi: Usichore au kujaza rangi kwenye michoro nakshi kwa sababu huharibu vanishi (mng’ao) na kufanya upimaji wa miaka kuwa mgumu. Vanishi ni tabaka la nje ya mchoro nakshi. Kupima umri wa sanaa ya miambani inatusaidia kujifunza juu ya walioifanya sanaa.

Angalia picha hii il iyo juu na chini kushoto: Wakati mwingine eneo lenye sanaa ya miambani huharibiwa na hii hufanya ugumu kujifunza kitu kutoka kwenye sanaa. Sanaa ya miambani inaweza kuharibiwa na watu, maji na jua. Watu huharibu sanaa kwa kuandika juu ya mchoro picha au juu ya mwamba. Hii inazuia watu wengine kujifunza kuhusu sanaa. Maandiko hayo hujulikana kama grafiti.

Picha hii ya mchoro nakshi inapatikana Libya na imeharibiwa na michakato ya asili kama jua na mvua kwa sababu ni ya zamani sana. Katika eneo ambapo mchoro nakshi hii inapatikana, watu huchimba mafuta na harakati za mashine wanazotumia inadhaniwa pia huharibu michoro nakshi.

Anglaia picha hii kati kulia:Mchoro picha hii ya watu wawili na kiboko imechakaa yenyewe. Mchoro picha hii inapatikana Pango la Pofu (Eland Cave) Afrika Kusini.

Angalia picha hii chini kulia:Wakati sanaa ya miambani imeharibiwa, watu hawawezi kutafiti na kujifunza juu ya kile kilichotokea muda mrefu uliopita. Sisi sote tunahitaji kulinda sanaa ya miambani kutokana na uharibifu wowote ili watu katika siku zijazo waweze kuiona. Kulinda sanaa kutokana na uharibifu inajulikana kama uhifadhi.

Mchoro wa wanamme wawili na kiboko, Afrika Kusini

Mchoro nakshi ya wanyama visasili, sasa inaitwa paka wanaopigana, Libya

Michoro nakshi ambayo imeharibiwa kwa kuvunjwa vipande, vipande, Morocco

Grafiti juu ya mchoro picha, Nyero, Uganda

Mchoro picha wa watu na wanyama,Kondoa, Tanzania

Angalia picha hii Chini kulia:Mchoro picha hii umeharibiwa na watu ambao wamebandua rangi. Kubandua rangi ya michoro picha au kumwaga vimiminika kwenye sanaa ya miambani huleta uharibifu wa sanaa na kuzuia kujifunza juu ya utamaduni na watu walioichora.

Grafiti juu ya mchoro picha, Kakapel, Kenya

Page 6: STYLISH MODERNBASIC FASINATE EXOTIC CAMOUFLAG · fasinate exotic camouflag stylish modernbasic inspire fresh sour-spicy unique pioneer vivid vogue brilliant art nouveau smart beautiful

Sanaa ya miambani hupatikana katika nchi nyingi za Afrika. Angalia ramani ya Afrika: unajua baadhi ya nchi hizo?

NCHI ZA AFRIKA ZENYE MAENEO YA SANAA YA MIAMBANI

www.africanrockart.org8 www.africanrockart.org 9

Ukweli unaofurahisha juu ya sanaa ya miambani: sanaa ya miambani imerekodiwa Afrika nzima.

Mchoro nakshi ya ngamia eneo la Kapesse, kaskazini mwa Kenya

Mchoro nakshi ya kifaru na ndani yake tembo mdogo, Morocco

Mchoro picha ya umbo lenye miguu kama ya ndege, Africa Kusini

Mchoro picha ya mtu amepanda ngamia, na ng’ombe, Chad

Mchoro picha ya mutu akitengeneza nywele za mtu mwingine, Libya

Mchoro picha ya mnyama mwindaji, pango la Apollo 11, Namibia

Mchoro picha ya mtu akikimbia na upinde, Algeria

Kidokezi cha uhifadhi: Usichore mistari au kujaza rangi kwenye sanaa ya michoro nakshi kwa sababu huharibu tabaka la nje ya mchoro nakshi au mchoro picha na kufanya upimaji wa umrikuwa mgumu. Kupima umri wa sanaa ya miambani inatusaidia kujifunza ambao walichora sanaa.

Hapa ni baadhi ya mifano ya michoro picha na nakshiipatikanayo Afrika

Page 7: STYLISH MODERNBASIC FASINATE EXOTIC CAMOUFLAG · fasinate exotic camouflag stylish modernbasic inspire fresh sour-spicy unique pioneer vivid vogue brilliant art nouveau smart beautiful

MSHAZARI1. Unaiitaje sanaa iliyotengenezwa na watu muda mrefu uliopita?5. Ni mnyama yupi ana mkonga mrefu na pembe mbili?6. Mnyama gani anaishi jangwani na ana nundu?7. Mnyama gani anaishi majini na mdomo mrefu, mkubwa wenye meno mengi makali?

CHINI2. Mchoro picha wa watu wanne wamemshikilia mtu wa tano unapatikana katika nchi gani?3. Mchoro nakshi ya paka wanaopigana inapatikana katika nchi gani?4. Ni katika nchi gani mchoro nakshi wa ngamia unapatikana?5. Mnyama gani mrefu zaidi duniani?

CHEMSHA BONGO MDOGO CHEMSHA BONGO MKUBWA

MSHAZARINi mahali gani ambapo watu wanaweza kuona maonyesho ya sanaa ya miambani navitu vingine vya kihistoria na kiutamaduni?Unaiitaje poda kavu ambayo hutumika kuchora michoro picha? Je, ni wanyama wapi walio kwenye michoro nakshi ambayo iko kwenye tishio kutoweka nchini Libya?Tembo ndani ya sanaa nakshi ya kifaru hupatikana katika nchi gani?Ni katika nchi gani mchoro picha ya tandala na mutu akiwa na upinde na mshale hupatikana?Ni nchi gani Afrika ambako mchoro picha predeta hupatikana?Je, unapaitaje mahali ambapo sanaa ya miambani hupatikana?

CHININi kisiwa gani nchini Kenya ambako michoro picha ya duara kitovu shirika inapatikana? Unauitaje ulinzi wa sanaa ya miambani na mazingira?Ni hifadhi ipi ya Taifa ambako picha ya twiga katika kijitabu hiki hupatikana? Je, michoro ya kunakishi kwenye miamba inaitwaje? Je, unawaitaje watu wanaoharibu sanaa ya miambani kwa kuandika juu yake au kuivunjaJe, unaviitaje vimiminika vinavyotumika kugandamiza pigmenti kwenye mwamba?Ni eneo gani nchini Kenya ambako mchoro picha wa ngamia hupatikana?

www.africanrockart.org 11www.africanrockart.org10

1. 2.

7.

4. 5.

6.

8.

10.

12.

13.

Na Evan Maina 1.

2.3.

4.5.

6.7.

1.8.9.

10.11.12.13.

4.

6.

7.

5.

3.

1.

2.

3.

Kidokezi cha uhifadhi:Usichore nakshi au kuandika majina kwenye miamba. Kufanya hivyo huharibu thamani ya michoro na si vyema kwa watalii wengine.

9.

11.

3.

Page 8: STYLISH MODERNBASIC FASINATE EXOTIC CAMOUFLAG · fasinate exotic camouflag stylish modernbasic inspire fresh sour-spicy unique pioneer vivid vogue brilliant art nouveau smart beautiful

KONDOA-Ni wilaya nchini Tanzania. Je, wajua pia kwamba ‘Kondoa’ ni aina ya konokono?

KAKAPEL-Kakapel ni magharibi mwa Kenya, Wilaya ya Teso Kaskazini. Je, unajua kwamba Kakapel iliitwa kutokana na jina chifu mkoloni wa Teso aitwaye Ojakapel? Je, unajua pia kwamba ‘Kakapel’ iliitwa Chelelemuk, neno la kiKalenjin maana yake “mahali palipoinuka juu”?

SUBA-waSuba au Abasuba ni watu wa Kenya ambao wanazungumza lugha ya kiSuba. Je, unajua kwamba kuna watu Tanzania (Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara) ambao wanajiita waSuba?

LIBYA-Je, ulijua kwamba bendera ya Libya ni kijani na wala hakuna rangi nyingine, umbo au pateni yeyote kwenye bendera? Ndiyo nchi pekee yenye bendera ya rangi moja.

TANZANIA-Je, ulijua kwamba Bonde la Olduvai, Tanzania, ndipo Dr Louis Leakey aligundua zamadamu wa kwanza na wa kale?

UGANDA-Je, ulijua kwamba katika karne iliyopita, mandhari ya Uganda ilivuta hisia za Waziri Mkuu wa Uingereza Winston Churchill, ambaye baadaye aliita Lulu ya Africa?

KENYA-Je, unajua pia kwamba “Kenya” ni neno la kike asili ya Kiebrania, maana yake “Pembe ya Mnyama”?

MALAWI-Je, ulijua kuwa Malawi ilikuwa zamani inajulikana kama Nyasaland?

www.wikipedia.org

BURUDANI KWELI KUHUSU MAENEO YENYE SANAA YA MIAMBANI PAKA RANGI PICHA HIZI HAPA CHINI

www.africanrockart.org12 www.africanrockart.org 13

TAFADHALI MSAIDIE MUSA APATE MAHALA PA MICHORO YA MIAMBANI

Na Evans Ondura

KURASA YA BURUDANI KURASA YA BURUDANI

Page 9: STYLISH MODERNBASIC FASINATE EXOTIC CAMOUFLAG · fasinate exotic camouflag stylish modernbasic inspire fresh sour-spicy unique pioneer vivid vogue brilliant art nouveau smart beautiful

H S W Y W U N B F A S H B E K O M

M A N O R O H C I M X B V M C G I

S E R E N G E T I M A M B A U N C

W E R T L L W O M K M J I K M A H

E U A X A D G C K W Y H G U K P A

Y H F W J N Y R A B T S U M O R M

U I R M T U Z M A I I A N B P E I

I F I A D S B A R F S Y D U A D A

P A K A V A B U N C F U I S L S K

J D A Q S A A N W I Q I G H I M U

K H S A G N E G E A A E T O B A B

L I N A M B A A R B S P M I Y P A

A A H Y E N A M J Y O P R Q A S T

A S Q U N A M I B I A K E N Y A U

S B A F R I K A K U S I N I D D I

X T A R A R O P T E M B O Z U X H

C B Y U C H O R A J I Q T K U S N

Tafuta maneno yafuatayo kwenye fumbo. Fumbo la kwanza limefanywa kwa ajili yako. Maneno yanaelekea pande zote.

Tanzania

Afrika

Mwambasanaa

Michoro

Namibia

Tembo

Mamba

Serengeti

Ngamia

Kudu

Makumbusho

Uhifadhi

Libya

Gundi

Uchoraji

TARA

FUMBO LA KUTAFUTA MAJINA

www.africanrockart.org14 www.africanrockart.org 15

Kumbuka

jumba la makumbusho la taifa

national museum

Rashid, hii inachosha!Hamjambo Rashid na Amina. Tulikuwa na

ziara ya ajabuMakumbusho.

Tafadhali tusimulie Idd...

Na Joseph WecheNa Evan Maina

KURASA YA BURUDANI KURASA YA BURUDANI

ZIARA YA MAKUMBUSHO

Page 10: STYLISH MODERNBASIC FASINATE EXOTIC CAMOUFLAG · fasinate exotic camouflag stylish modernbasic inspire fresh sour-spicy unique pioneer vivid vogue brilliant art nouveau smart beautiful

VITUKO VYA SANAA YA MIAMBANI

Rock art

AdventureRock art

Adventure

Amina, nimegundua pango lenye michoro

picha!

Michoro hiyoinaonekana ya kale.

Nifuate!

Kwa vile mimi ndiye mgunduzi, nitaandika jina langu!

Ahaa!

?!hapana, ! Rashid,Usifanye hivyo!

Hukumbuki tulivyooambiwa kuhusu

sanaa ya miambani?

Miaka mingi iliyopita watu walikuwawanachora na kunakshi kwenye

miamba...

Lo!Nimesahau kuwa tunapaswa

kuilinda na kuihidhi sanaa ya miambani.

Haraka!twende tuwaambie

wazazi wetu kuhusu uvumbuzi muhimu

Ndiyo!

kwa hiyo inabidi tuwaambie watu wa makumbusho, ili wengine waje na waione

MAJIBU

MWISHO!

TAFADHALI MSAIDIE MUSA APATE MAHALA PA MICHORO YA MIAMBANI

MSHAZARI1. Tembo 2. Michoro ya Miambani3. Libya 4. Ngamia

CHINI1. Twiga4. Namibia5. Kenya6. Mamba

CHEMSHA BONGO MDOGO CHEMSHA BONGO MKUBWA

CHINIMfanganoUhifadhiSerengetiMichoroWaharifuGundiKapesse

www.africanrockart.org16 www.africanrockart.org 17

Na Joseph Weche na Moses Otieno

KURASA YA BURUDANI

FUMBO LA KUTAFUTA MAJINA

1. 8. 9.10.11. 12.13.

MSHAZARIMakumbusho 2. Rangi 3. PakaMorocco 5. Tanzania 6. NamibiaTovuti

1. 4. 7.

Page 11: STYLISH MODERNBASIC FASINATE EXOTIC CAMOUFLAG · fasinate exotic camouflag stylish modernbasic inspire fresh sour-spicy unique pioneer vivid vogue brilliant art nouveau smart beautiful

Ninapenda Michoro Ya Miambani

www.africanrockart.org