Small Arms Survey / Research Note 40 / The UEMS Incident … · 2016. 12. 5. · Kwa mfano, hali...
Transcript of Small Arms Survey / Research Note 40 / The UEMS Incident … · 2016. 12. 5. · Kwa mfano, hali...
Muhtasari wa Small Arms Survey • Nambari 40 • Aprili 2014 1
Milipuko isiyotarajiwa katika maeneo ya kuhifadhi zana za kivita (Unplanned Explosions at Munitions Sites - UEMS)
ni jambo muhimu la kiusalama kwa serikali na ni changamoto kubwa ya usalama kwa jamii ya kimataifa. Utafiti huu wa Silaha ndogo ndogo umerekodi zaidi ya matukio 500 kama hayo kwa kipindi cha miaka 35, kuanzia 1979 hadi 2013. Uchambuzi wa takwimu hizi unaonekana katika Kijitabu kilichotoka kutoka kiitwacho “Unplanned Explosions at Munitions Sites: Excess Stockpiles as Liabilities rather than Assets” kilicho na majedwali , michoro, ramani, na viambatisho vingine muhimu, mlundikano mkubwa wa silaha hauna umuhimu wowote na sio Rasilimali.1 Milipuko inayotokana na silaha hizi imetokea katika nchi 100 (angalia Ramani 1), na imesababisha vifo vya maelfu ya watu, maelfu ya watu kujeruhiwa, watu kukimbia makazi, mamilioni ya fedha za kigeni kutumika katika gharama za usafirishaji, kutegua mabaki ya mabomu, kununua silaha zingine na kufidia zilizolipuka. Rasilimali hizo zingeweza kutumika kwa namna nyingine yenye manufaa zaidi. Baadhi ya matukio ya milipuko yamesababisha mawaziri wa seri-kali, maofisa wa kiraia, na maafisa wa kijeshi kukamatwa na kuondolewa madarakani.
Kielelezo cha UEMS inazungumzia kuhusu tatizo kubwa zaidi la uharibifu unaosababishwa na mlipuko mmoja. Matukio yanaonyesha fikra zisizo furahisha za watunga sera kuhusu viwango vinavyofaa vya akiba na viwango hatari vya ziada. Matukio mengi hutokea kwa sababu mataifa mengi huchukulia akiba zao za zana za kivita kama rasilimali badala ya madhara, bila kujali muda gani zimehifadhiwa na jinsi zilivyohifadhiwa.
Kutambua na kuteketeza akiba ya ziada kunafaa kuwa hatua muhimu ya mara kwa mara kwa ajili ya usimamizi mzuri wa silaha. Wakati silaha zinawekwa bila kujali kiwango, ubora, na usalama wa hifadhi, usimamizi
Kielelezo cha Kuripoti Tukio la UEMS
NAMB
ARI 4
0 •
APRI
LI 2
014
unapungua. Katika hali kama hiyo, huwa kuna uwezekano wa uhamishaji silaha wenye utata na uwezekano wa kubadilisha matumizi kwa bahati mbaya au bila idhini.
Kijitabu hiki kinatumiwa kwa sababu tatu za msingi. Ya kwanza, kinalenga kusaidia utendaji bora kwa kufafanua ukubwa na uwezo wa changamoto ambayo watunga sera hupitia, na kinahamasisha mataifa kusimamia akiba zao za silaha ndogo kwa ufanisi. Ya pili, utafiti unakusudiwa kutumiwa kama zana ya dondoo. Kwa mfano, hali halisi inaonekana kwa mataifa 37 yanayotekeleza shughuli zinazohusiana na UEMS (angalia Mchoro 2). Na ya tatu, kitabu hiki kinatumiwa kama zana ya mafunzo.
Kielelezo cha Kuripoti TukioKielelezo cha Kuripoti Tukio la UEMS (UEMS Incident Reporting Template - UEMS IRT) (angalia Mchoro 1) kinatolewa ili kusaidia uwekaji wa rekodi sahihi na kushiriki takwimu zilizo kwenye mfumo.
Taarifa sahihi kwenye kila tukio la UEMS zinahitajika ili kuboresha jitihada za uzuiaji wa matumizi ya silaha ndogo. Uchambuzi wa takwimu za majanga yanayotokana na matumizi ya silaha ndogo duniani unatoa michango miwili muhimu. Umuhimu wa kwanza: Kuongezeka kwa ufahamu wa maru-dio ya matukio haya kunaweza kupunguza madhara yanayohusiana na milipuko na hati-maye, inafaa kuhamasisha mamlaka husika kuboresha utendaji wao hususan usalama wao wa kimwili na usimamizi wa akiba ya silaha (Physical Security and Stockpile Management - PSSM). Umuhimu wa pili: Uchambuzi wa takwimu za kimataifa unaweza kudhihirisha mitindo au mbinu mbalimbali zinazotumika katika matukio ya UEMS, jambo ambalo linaweza kuboresha uwezo wa kutambua hali hizo ambazo zinaweza kuongeza idadi ya matukio.
Katika miaka 35 iliyopita, vyombo vya habari havijaweza kutoa taarifa zilizofanyiwa utafiti wa kina kwa jamii badala yake wanatoa maoni na uvumi wa mwanzo kuhusu sababu za tukio na sio taarifa kamili. Vyombo vya habari vinalenga kutoa taarifa za vifo, uharibifu wa mali au miundombinu. Taarifa kamili hupa-tikana baada ya upelelezi na kwa kawaida taarifa hizo hutolewa kwa umma kwa nadra.
Kwa kawaida serikali husita kutoa taarifa za uchunguzi. Kuthibitisha hili, kwa mfano, wanaweza wasitoe taarifa kwa sababu za
HATU
A NA
PR
OGRA
MUR
esea
rch
Not
es
2 Muhtasari wa Small Arms Survey • Nambari 40 • Aprili 2014
Mcho
ro 1.
Kie
lele
zo c
ha K
urip
oti T
ukio
la U
EMS
2.W
api?
(Tu
kio
la U
EMS
lilito
kea
wap
i?)
Nch
i:
Jiji a
u m
ji:
Jina
la k
ituo
/ene
o:
4.K
wa
nin
i? (K
wa
nin
i tu
kio
la U
EMS
lilito
kea?
)
(k.m
. uha
ribi
fu w
a za
na z
a ki
vita
; uhi
fadh
i mba
ya a
u m
iund
ombi
nu m
ibov
u; n
yenz
o ku
tum
iwa
viba
ya a
u ku
angu
shw
a; m
atuk
io y
a nj
e ki
maz
ingi
ra (k
ama
vile
maf
urik
o au
mot
o);
usal
ama
mdo
go; m
azin
gira
mab
aya
ya k
ufan
yia
kazi
)
1.L
ini?
(Tu
ko la
UEM
S lil
itoke
a lin
i?)
Tare
he (m
mm
m/m
m/s
s):
Saa
(ss:
dd
) [k
wa
mfu
mow
a sa
a 2
4]:
Hal
i ya
hew
a (k
.m. k
iasi
cha
joto
°C
, upe
po, m
vua,
rad
i):
/
:
/
3.N
ani?
(Ni n
ani a
nay
emili
ki a
u k
usi
mam
ia e
neo
na
vitu
vili
vyo
mo
?)
3.1.
Ni n
ani a
naye
mili
ki a
u ku
sim
amia
ene
o?
Mm
iliki
t
aifa
s
io t
aifa
msi
mam
izi (
kam
a ni
tofa
uti)
Mae
lezo
(k
.m. a
ina)
pol
isi
jesh
i k
ampu
ni b
inaf
si
kig
eni (
k.m
. kik
osi c
ha k
udum
isha
am
ani)
kun
di le
nye
sila
ha
wen
gine
(k.m
. mak
ampu
ni y
a ki
taifa
), ta
ja:
wen
gine
(k.m
. gen
ge la
jina
i),
taja
:
3.3.
Ni z
ana
zipi
za
kivi
ta
zilih
ifadh
iwa
hapo
?A
ina
ya n
yenz
o a
u za
na z
a ki
vita
:K
iwan
go/k
ipim
o (m
akad
irio
ya ju
mla
, yan
ayot
oa ta
kwim
u yo
yote
inay
opat
ikan
a):
Mao
ni (k
.m. u
mri
, asi
li, a
ina,
na
hal
i ya
zana
za
kivi
ta)
nde
ge
vifa
ru n
a m
izin
ga
kiw
ango
(kw
a id
adi)
uzi
to (k
wa
tani
)
tham
ani (
onye
sha
kwa
fedh
a)
mku
sany
iko
wa
sila
ha m
balim
bali
mili
puko
na
baru
ti
mab
omu
ya k
uteg
a ar
dhin
i s
ilaha
za
maj
ini
sila
ha n
dogo
ndog
o na
nye
pesi
hai
julik
ani
3.2.
Zan
a hi
zo z
a ki
vita
zin
awek
wa
kati
ka je
ngo
la a
ina
gani
?
3.2.
1. H
ali y
a en
eo
la h
ifadh
i? la
kud
umu
la
mud
a
3.2.
2. N
i shu
ghul
i za
aina
gan
i zili
zofa
nyik
a ha
po
?
kuh
ifadh
i
kuc
haka
ta
kup
akia
/kup
akua
3.2.
3. M
uund
o w
a je
ngo
la h
ifad
hi
ulik
uwaj
e?
jeng
o lil
iloje
ngw
a kw
a m
adhu
mun
i ya
hifa
dhi
jeng
o lil
iloje
ngw
a kw
a m
adhu
mun
i men
gine
mba
li na
hifa
dhi
gha
la
hai
julik
ani
Muhtasari wa Small Arms Survey • Nambari 40 • Aprili 2014 3
5. N
ini?
(N
i nin
i kili
cho
toke
a ka
ma
mat
oke
o y
a m
lipu
ko?)
5.1.
Ene
o lil
iloat
hiri
wa
ni k
ubw
a ki
asi g
ani?
5.2.
Ni n
ani a
liath
iriw
a na
mlip
uko?
5.3.
Ni m
iund
ombi
nu g
ani i
lihar
ibiw
a
na m
ilipu
ko?:
Nus
u ki
pen
yo c
ha m
lipuk
o (k
m)
(uku
bwa
wa
shin
ikiz
o la
hew
a/m
gand
amiz
o w
a he
wa
kuto
ka e
neo
la m
lipuk
o)
Vifo
(jum
la)
ndi
yo
hap
ana
hai
julik
ani
Kam
a ni
ndi
yo, i
dadi
ya
waf
anya
kazi
kat
ika
en
eo h
ilo w
alio
kufa
idad
i ya
raia
, wat
u w
alio
kufa
was
io
waf
anya
kazi
Ain
a ya
miu
ndo
msi
ngi i
liyo
hari
biw
a
(cha
gua
yote
inay
ohus
ika)
shu
le
mak
azi
hud
uma
za a
fya
k
itovu
cha
usa
firi
min
gine
, taj
a:
Nus
ukip
enyo
cha
usa
amb
aaji
w
a he
wa
ya m
abo
mu
(km
)
(uku
bwa
wa
eneo
lilil
oath
iriw
a na
risa
si, m
ilipu
ko, s
ilaha
, na
vifu
s/m
abak
i, vi
navy
osab
abis
ha h
atar
i end
elev
u)
Maj
eruh
i (ju
mla
) n
diyo
h
apan
a h
aiju
likan
i
Kam
a ni
ndi
yo, i
dadi
ya
waf
anya
kazi
wa
en
eo h
ilo w
alio
jeru
hiw
a
idad
i ya
raia
, was
io w
afan
yaka
zi
wal
ioje
ruhi
wa
Kiw
ango
cha
uha
rib
ifu
(and
ika
fedh
a)
Mao
ni
5.4.
Mat
okeo
men
gine
ya
UEM
S ni
yap
i?
Jib
u la
ser
ikal
i
u
chun
guzi
wa
kius
alam
a
uch
ungu
zi w
a ki
sher
ia
Fid
ia
ndi
yo
hap
ana
hai
tum
iki
Kam
a ni
ndi
yo, n
i fam
ilia
ngap
i zili
poke
a fid
ia?
Kam
a ni
nd
iyo,
ni f
amili
a ng
api z
ilip
okea
fid
ia?
Mat
oke
o y
a ki
sias
a (k
.m. m
aafis
a w
akuu
kuk
arip
iwa,
kus
hush
wa
vyeo
, kut
uhum
iwa,
au
kuf
ungw
a je
la)
Mat
oke
o m
engi
ne (k
.m. y
a ki
maz
ingi
ra, k
iuch
umi,
kija
mii,
au
kiaf
ya)
Mto
a ta
arif
a, m
aele
zo y
a m
awas
ilian
o
Jina
Taas
isi
Anw
ani y
a po
sta
Sim
u
Bar
ua p
epe
6.V
ipi?
(Je
, Tai
fa n
a ja
mii
ya k
imat
aifa
ilis
emaj
e?)
Mp
ango
wa
hatu
a za
dha
rura
ul
itek
elez
wa?
ndi
yo
hap
ana
hai
tum
iki
Mta
alam
u w
a EO
D*
alik
uwa
kati
ka
eneo
kab
la?
ndi
yo
hap
ana
hai
julik
ani
Uha
mis
haji
wa
wak
imb
izi
Kam
a ni
ndi
yo, w
atu
wan
gapi
?
ndi
yo
hap
ana
hai
tum
iki
Wat
u w
alio
ham
ishw
a
ndi
yo
hap
ana
hai
tum
iki
Kam
a ni
ndi
yo, w
atu
wan
gapi
?K
ama
ni n
diyo
, uha
mis
haji
u
likuw
a w
a m
uda
au
w
a ku
dum
u?
Uo
ndo
lew
aji w
a U
XO
**
n
diyo
h
apan
a h
aitu
mik
i
Mae
lezo
(k.m
. win
gi a
u uz
ani
kwa
tani
)
Mao
ni (k
.m. m
ajin
a ya
was
hirik
i wan
aosa
idia
, iki
jum
uish
a w
ashi
riki w
a nd
ani,
kita
ifa, a
u ki
mat
aifa
)*E
xplo
sive
ord
nanc
e di
spos
al /
Kan
uni z
a ku
hari
bu M
izin
ga n
a M
abom
u; *
*Une
xplo
ded
ordn
ance
.
Kuhusu Small Arms SurveyNi kituo cha ubora duniani ambacho madhumuni yake ni kutoa taarifa adilifu, yenye ushahidi na inayohusu sera kuhusu vigezo vyote vya silaha ndogo ndogo na vita vya silaha. Ni chanzo muhimu cha kimataifa cha kutoa taarifa, utaalamu na uchambuzi wa masuala ya silaha ndogo ndogo na vita vya silaha. Utenda kama rasilimali kwa serikali, watengeneza sera, watafiti na asasi za kiraia. Makao makuu yake yapo Geneva, Uswisi katika taasisi ya elimu ya juu ya masomo ya Kimataifa na Maendeleo.
Small Arms Survey ina wafanyakazi wa kimataifa wenye ujuzi wa mafunzo ya ulinzi na usalama, sayansi ya kisiasa, sheria, uchumi, masomo ya maendeleo, sosholojia na elimu ya jinai pamoja na ushirikiano na mtandao wa watafiti, taasisi za wabia, mashirika yasiyo ya kiserikali na serikali katika nchi zaidi ya 50.
Kwa maelezo zaidi, tafadhali tembe-lea tovuti ya www.smallarmssurvey.org.
Mara ya kwanza kuchapishwa kwa lugha ya Kiingereza: Aprili 2014
Toleo hili katika lugha ya Kiswahili: Septemba 2015
SifaWaandishi: Eric G. Berman, Benjamin King, na Pilar Reina
Wahariri: Nsia Humphrey Shoo ([email protected]) na Nivoneia Yonazi Kikaho
Muundo na mpangilio: Rick Jones ([email protected])
Maelezo ya mawasilianoSmall Arms SurveyMaison de la Paix Chemin Eugène-Rigot 2E CP 136 – 1211 GenevaSwitzerland
simu +41 22 908 5777 faksi +41 22 732 [email protected] www.smallarmssurvey.org
104
Unp
lann
ed E
xplo
sion
s at
Mun
itio
ns S
ites
HA
ND
BO
OK
UEMS-RELATED ACTIVITIES MSAG was created to assess how international instruments promoting stockpile management could be implemented effectively. MSAG contributes to standard-setting efforts, develops training mod-ules for donor nations, implements common projects, and provides a platform to exchange knowl-edge and expertise. MSAG offers classroom- and field-based training to decision-makers, practi-tioners, and managers. MSAG nations can provide comprehensive support in the establishment of proper life-cycle management of weapons and munitions. MSAG’s half-yearly meetings (the 18th was held in November 2013) improve coordination, facilitate pooling of resources, and help to prevent costly duplication of efforts. (These meetings benefit from expertise from international and regional institutions as well as from civil society organizations.) A typical project cycle for a country receiving assistance from MSAG would include an assessment visit, awareness raising, project planning, training and technical advice, supporting implementation, and reassessment and evaluation of changing needs and progress made.
ADHERENTS TO COMMITMENTS AND RECIPIENTS OF ASSISTANCE
MSAG members (Austria, Belgium, Canada, Denmark, Germany, France, Hungary, Ireland, Norway, Poland, Spain, Sweden, Switzerland, UK, and the United States) review their course modules an-nually to ensure that they adhere to latest international standards and best practice. Although all MSAG members are also OSCE members, recipients of MSAG assistance need not be members of that organization. Officials from some 30 countries in the OSCE ‘region’ as well as Africa have participated in MSAG-sponsored courses at regional training centres (e.g. RACVIAC in Croatia, International Peace Support Training Centre in Kenya, and NATO School in Germany, and at MSAG members’ training facilities. Countries receiving direct and sustained support to manage their weapons and munitions stores include—but are not limited to—Bosnia and Herzegovina, Ethiopia, Moldova, Tajikistan, and Turkmenistan.
PUBLICATIONS AND MATERIALS OF NOTE MSAG. 2013. Coursebook on Physical Security and Stockpile Management of Arms, Ammuni-
tion and Explosives.
Information accurate as of 16 December 2013
Multinational Small Arms and Ammunition Group (MSAG)
HEADQUARTERS
n/a
WEBSITE
www.msag.es
POC
NAME n/a
TITLE n/a
n/a
SHORT DESCRIPTION
MSAG, established in 2005, is an apolitical, informal, and multinational platform which strives to develop training modules, support standard setting, share experience, and co-ordinate assistance concerning PSSM. Its 15 members contribute according to national priorities and capacities.
kiusalama hasa wanapotoa taarifa muhimu zinazohusu hifadhi za zana za kivita au vikwazo vya kisheria vinavyowakumba watu binafsi au taasisi kama sababu za kuzuia utoaji sahihi wa taarifa.
UEMS IRT imeundwa kuweka viwango na kuhamasisha ukusanyaji wa taarifa za matukio kama hayo. Muundo mzuri wa UEMS IRT unapunguza wasiwasi ambao mataifa yame kuwa nao na unawasaidia wanahabari kutambua vipengele zaidi vinavyo-takiwa kuhusu matukio ya UEMS.
Kielelezo kinawawezesha watu wasio wataalamu kutoa taarifa vizuri zaidi. kwa faida zaidi, kielelezo kizu-ri kinawezesha mamlaka kuwasilisha muhtasari kamili kuhusu tukio, bila kutoa taarifa kamili za uchunguzi kwa ukamilifu wake.
UchunguziAthari za UEMS ni kubwa na maran-yingi huwa za muda mrefu. Vyombo vya habari hulenga athari za mwanzo za tukio, kama vile vifo na majeruhi waliopatikana kutokana na mlipuko wa awali. Hii inalengavifo na majeruhi;
ni kiashirio muhimu cha gharama za UEMS na ndiyo maana ni muhimu kutafuta njia za kuzuia. Ni wakati tunapoangalia madhara ya muda mrefu ya kijamii , kiuchumi, kisiasa na kijeshi, hata hivyo, kuna uwezekano wa kuelewa gharama kamili ya UEMS na kwa nini kukumbana nazo kunafaa kupewa kipaumbele katika ajenda za kitaifa, kikanda na kimataifa. Hadi leo, UEMS IRT imeundwa kusaidia kutoa unasaji mzuri wa takwimu na uwekaji mzuri wa kumbukumbu.
Vidokezo1 Muhtasari 6, ‘Milipuko isiyotarajiwa katika
maeneo ya kuhifadhia zana za kivita,’ unaopatikana kwa lugha mbalimbali, unatoa ufupisho.
VyanzoMuhtasari huu wa Utafiti umetengenezwa
kulingana na toleo la mfululizo la Kijitabu cha Small Arms Survey la “Unplanned Explosions at Munitions Sites (UEMS): Excess Stockpiles as Liabilities rather than Assets”, lililohaririwa na Eric G. Berman na Pilar Reina.
Mchoro 2. Wasifu wa sampuli : Mhusika anayetekeleza au kutoa shughuli na huduma zinazohusiana na UEMS*
Ramani 1. Matukio ya UEMS kwa nchi, 1979–2013
* Wasifu huu, pamoja na nyingine 36 katika Kijitabu, hautumiki kama msimamo au hati rasmi ya mhusika aliye kwenye wasifu.
4 Muhtasari wa Small Arms Survey • Nambari 40 • Aprili 2014• Swahili translation
Matukio 10 au zaidiMatukio 6–9Matukio 2–5Tukio 1Hakuna matukio yaliyorekodiwa
Umefadhiliwa na Office of Weapons Removal and Abatement (PM/WRA)
Uchapishaji huu unaunga mkono Programu ya SaferGuard ya Umoja wa Mataifa