KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa...

16
Kijitabu cha Kijitabu cha mwongozo cha mwongozo cha mfuko mfuko www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Transcript of KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa...

Page 1: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

Kijitabu cha Kijitabu cha mwongozo cha mwongozo cha

mfuko mfuko www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 2: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

“Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza, naye

mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili

yangu ataiona.” Mathayo 10:39

1

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 3: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

Ni mara ngapi wewe umeuliza mtoto, " Unataka kuwa nani ukiwa mtu mzima?"Sote tuna ndoto za nani tunataka kuwa. Tuna matumaini ya Mungu kututumia tufanye jambo kubwa. Hii inaweza kuwa mashuleni, katika makanisa yetu, katika siasa, katika hospitali, au kufikia dunia katika shirika lisilo la kufanya faida. Mungu anahitaji watu wenye uwezo katika kila eneo, na tunatumaini kuwa mmoja wao. Kama vile tunavyo ota Mungu akitumia sisi, vivyo hivyo watoto katika makanisa yetu na jamii. Wanatumaini na ndoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao.Habari njema ni kwamba Mungu ako na mipango mikubwa kwa maisha yao.Habari mbaya ni kwamba wengi hufanya makosa, na kukosa mipango bora ya Mungu kwao.VBS hii yote inahusu kuwasaidia watoto katika jamii zenyu WASIKOSE, bali wakae katika mapenzi ya Mungu na kufanikisha jambo kubwa katika maisha yao. Kama vile kupanda mlima, inachukua nia kubwa kujikaza, pamoja na ujasiri na nguvu ya kufikia kilele.Kwa Likizo ya shule ya Biblia mwaka huu, tuna mgeni maalum atakaye kuja kushiriki na watoto. Mgeni wetu ni Yusufu mwenyewe, kijana aliye ota ndoto kwamba Mungu atamtumia kwa njia kubwa. Hata hivyo, "kupanda" kwa Yusufu na kuwa mmoja wa watu wenye nguvu zaidi katika dunia kulimpeleka kwanza kuwa mtumwa. Njia ya kwenda juu ya mlima kwa Yusufu ilikuwa CHINI!Hii kwa kweli ndivyo jinsi Mungu

Karibu katika mwelekeo bila mipaka!

2

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 4: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

hufanya kazi katika maisha yetu pia. Njia ya juu kwa kweli ni CHINI! Lakini usiwe na hofu, hata kama unahisi kama hatuendi popote au kurudi nyuma, Mungu ana mpango mkubwa kwa ajili ya maisha yetu, kama vile alivyofanya kwa Yusufu. Mungu amejitoa kuendesha maisha yetu, kama tutamruhusu."Mwenye kuiona nafsi yake ataipoteza, naye mwenye kuipoteza nafsi yake kwa ajili yangu ataiona." Mathayo 10:39Tunapotoa maisha yetu kwa Mungu, hata kama tunahisi kama tuna kwenda chini, tutakuwa tuna panda juu.Una sema nini?Je, uko tayari kupeleka wanafunzi wako safari ya kusisimua ya kupanda juu ya mlima? Hebu tujifanye tunakwenda ufuo wa kutembea kwa barafu, huku tukiwa na mlipuko wa kuzunguka kupitia vituo vya kufurahisha kama vile "Nyumba ya ufundi" au "Michezo ya barafu." Wanafunzi wako watafurahia kuchukua mapumziko katika "Mkahawa wa kilele" na kuonyesha sanaa waliotengeneza. Itakuwa rahisi wao kushiriki waliojifunza na wazazi wao wakati wa kwenda nyumbani, kwa sababu kurasa za wanafunzi zinakunjwa kufanya mikufu ya mkono wao, ikionyesha mstari wa kukariri wa siku. VBS hii pia ni pamoja na misheni ya kusisimua ilio na ratiba mpya ambayo itafungua macho ya wanafunzi wako kwa ulimwengu na kuwatia moyo kusaidia.Hebu tufunge msimu huu ujao wa likizo na kujifanya ni baridi nje kwa msisimko wa hii VBS "Mwelekeo bila mipaka." Inaweza kuwa baridi kidogo katika theluji, na unaweza kuwa mchovu wa kupata "baridi ya barafu" lakini itakuwa furaha kupanda kwa kila mtu katika kanisa nzima!

3

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 5: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

Ratiba YA mzunguko

(dakika 20-40 kila moja)

Mkahawa wa kilele (wakati wa chai) (dakika 20-40)

Msafara wa mishenari (dakika 20-40)

Michezo ya barafu (dakika 20-40)

Wakati wa ufunguzi wa kundi (Dakika 45)

(masaa 3-5)

• Muziki• Mchezo wa kuigiza (pamoja na kongoni na sungura)• Somo Kuu

4

• Muziki• Matangazo na kufunga

Masaa ya kufunga kundi (dakika 15)

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 6: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

Somo la 1Somo la 1Amini MunguNdoto ya Yusufu yakemewa

Kambi ya msingi

Mwanzo 37: 2-11

MSTARI WA Biblia"Na pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu kwa maana kila mtu anayemjia ni lazima aamini kuwa yupo na kwamba yeye huwapa tuzo wale wanaomtafuta kwa bidii." Waebrania 11:6

Sanduku la ndoto Yusufu na koti lake la rangi nyingi

Koti la Yusufu la rangi nyingi

Pitisha mawe ya barafuNgoma ya barafu

5

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 7: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

Cheza mchezo huu kama " Meli ya vita ", ukiuliza kila wakati, “Je, unaweza kuona Mungu akitembea katika maisha yangu?" Kila mchezo huchezwa na wachezaji 2, kila mmoja akitumia laini mbili katika karatasi yao ya wanafunzi. Kwenye laini moja, mchezaji anapanga meli zao na kunakili alama za mpinzani. Kwenye laini nyingine, mchezaji ana nakili alama zao wenyewe. Chora kwa penseli meli 1 ambayo ina urefu wa miraba 5 , 1 ambayo ni miraba 4, 2 ambazo ni urefu wa miraba 3, 2 ya 2, na 1 ya mraba 1. Kisha uanze mchezo. Wakwanza kuona mwenendo wa Mungu kwa "Meli" za wapinzani wote ni mshindi

A

B

C

1 2 3

6

I M A N I M U N G U

R B U K U I O Y T E N Y O T A

H A I W E Z E K A N I G H T S M A

W H D Y M Y U S U F U A I U E I I

I I H E K U W E P O N E Z P N T

I J W R E B U N D O T O H I

A M L I M A

J U O

N

G

A

N

N

Z E K A N IWH A

Y O T AANN

N D OO T OO

M

E

W

A

K

E

Y U S U F U

A

M

I

N

I

A

MM U N G UI M A N I

T

U

Z

OO

D

I

II

B

I

M L I M A

K U W E P O

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 8: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

Somo la 2Somo la 2Tumainia MunguYusufu atendewa mabaya

Kambi ya Mto wa Barafu

Mwanzo 37: 12-35

"Mtumaini BWANA kwa moyo wako wote wala usizitegemee akili zako mwenyewe, katika njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako. " Mithali 3:5-6

Msalaba wa mbao Yusufu na Kisima

Kisima Barafu kuyeyukaKutupa mpira wa barafu

7

MSTARI WA Biblia

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 9: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z

Yusufu aanguka Kisimani (mnyongaji)Mtu mmoja anafikiria neno kisha anatoa idadi sawa ya nafasi ya mistari sawa na herufi katika neno. Mchezaji mwingine anakisia. Kama kukisia ni sawa, herufi inaandikwa katika nafasi ya mstari sahihi. Kama herufi ni kosa, mwili una chorwa, sehemu moja kwa wakati mmoja. (Mwili ni pamoja na kichwa, kiwiliwili, miguu 2, mikono 2 na nyayo 2.) Kisia neno kabla Yusufu kuanguka kisimani!

8

K U E L E W A R

T U M A I N I A R W E M M T N

S L K N Y A N Y A S W A E U R Y

T E I W S E U U T U M W A N N O Y

A A S A S G S S R A I G K G J O H

U N I E H E T U P W A Y U U I K T

J M R G M G F G H J K T T A A

A T F E T U B N H F I F E W

A G O R G D D I

U

S

F

U

N Y A N YY A S W AY

P W AT U

K

I

S

I

M

A

T U M W AU

T U M A I N I A M

U

N

G

U

E

G

E

M

E

A

K U E L E W A

K

U

T

I

I

N

Y

O

O

K

A

N

J

I

A

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 10: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

Somo la 3Somo la 3Tumikia MunguYusufu atumika katika nyumba ya Potifa

Kambi ya Miti (au kambi ya Msitu)

Mwanzo 37:36, 39: 1-6

"Mtu ye yote anayetaka kunitumikia lazima anifuate; ili mtumishi wangu awepo mahali nilipo; na mtu ye yote akinitumikia, Baba yangu atampa tuzo ya heshima."Yohana 12:26

Mafumbo ya Kutegua Kumtumikia Mungu Nakili

Vitafunio Kurusha mpira wa barafuMbio za barafu za rile

9

MSTARI WA Biblia

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 11: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

Cheza mchezo huu na rafikiWakati wa kucheza Mchezo wa kurusha kidude eneo la nafasi sawa !Ruhusu wanafunzi kuchagua rafiki wa kucheza naye, na kuendelea kucheza michezo yote 6.Wachezaji wanachukua zamu kuweka alama nafasi zilizo na "X" au "O" katika wa mraba 3x3 laini. Mchezaji anayefanikiwa kuweka alama tatu katika usawa, wima au mkato anashinda mchezo.

10

H T M U N G U E T M D H B T

H O M T U M I S H I A S E A W

P O T I F A U I T D D F S B A

P A N D A G U Y A A H A A

G J K T I I M U R U I N M

I D H I N I S A T M K

H K M K U K A A U

O K I F A T R

A U T E E

M T UU M I S H I

K

T

U

M

I

I

AA

P O T II FF A

H

E

S

H

I

M

A

M UUU N G U

F

A

U

T

A

P AAA N D A

M

A

D

A

R

A

K

A

III D H I N I

Y

U

S

U

F

U

B

A

B

A

T I I

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 12: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

Somo la 4Somo la 4Tumaini katika MunguYusufu asahaulika gerezani

Kambi ya Mtiririko wa Barafu

Mwanzo 39: 7-40: 23

"Sisi tunamngojea BWANA kwa matumaini, yeye ni msaada wetu na ngao yetu." Zaburi 33:20

Mashua ya karatasi Fremu ya Picha

Kinywaji cha juisi cha barafu

Mchezo wa Kuwinda Rile ya mpira wa barafu

11

MSTARI WA Biblia

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 13: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

Pamoja na rafiki, cheza kukamilisha miraba zaidi. Chukua zamu kuchora mstari kati ya alama. Unapokamilisha mraba, andika herufi za kwanza za majina yako ndani yake, kisha chukua zamu ya ziada. Masanduku yote yakiwa yamechorwa na kujazwa, ilio na masanduku mengi imeshinda.

D S

12

J A I

Y A S U F U U R

Y H M U N G U T R

T A F S I R I H U T S

S C O B Y P H T E M N A R

G S A H A U L I K A D I L

I H G A J M L E T I O D T

F O E R O Z S A A N T I H

T P R A S I I K L I O A S

E E K E K W A K A T I

Z A P A N G A O G N

A C H D L P H E

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 14: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

Somo la 5Somo la 5Shukuru MunguNdoto za Yusufu kutimia

Kilele

Mwanzo 41: 14-40, 41: 53-57, 42: 1-6

"Nami nitakushukuru mbele ya kusanyiko kubwa, nitakusifu katikati ya watu wengi." Zaburi 35:18

Bendera za kileleniMaeneo ya Mlima yenye theluji

Vionjo vya Milima Siku ya Sherehe

13

MSTARI WA Biblia

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 15: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

14

1. Eneo _______________________

2. Nomino, wingi ____________________

Ruhusu wanafunzi wako kuchukua zamu na rafiki, kujaza orodha ya maneno bila kusoma hadithi. Kisha waandike maneno katika hadithi hapo chini, katika sanduku la bluu. Soma hadithi kwa sauti. Si lazima maneno yaambatane na hadithi, na kadri zinapokosa kuambatana, shughuli inakuwa ya kufurahisha.

Kupanda hadi _____________________ ni furaha zaidi

kuliko bakuli la ________________. (eneo)

(nomino, wingi)

K I L E L E

K U T I M I A G S

S U M S I F A R A H N E

F O K O A T M M H U J R

T W A S I L I T U M K A E

H A D H A R A N I U A

N D O T O F W G S R

Y U S U F U A U R U

I M B A L M I

E U E G A P

HH AA D H A R

S

HH

UU

KK

U

R

U

KK UU T I M I AA

M

TT

W

A

L

AA

AA

Y U S U F U

M

I

S

R

I

I

NN

J

AA

AA

OO KK O AA M

U

G

U

N

S I F A

I M B AA

W A S I LL II

K II L E L E

NN D O T O

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.

Page 16: KKijitabu cha ijitabu cha mmwongozo cha wongozo cha · PDF filendoto ya kile watakachokuwa siku moja. Wanaota Mungu akiwa na mipango mikubwa kwa maisha yao. Habari njema ni kwamba

Pocket Guide Swahili

[email protected] are located in Mexico.DK Editorial Pro-Visión A.C.

Toa kwenye tovuti (download)RATIBA

Nzima BURE!

www.ChildrenAreImportant.com

www.ChildrenAreImportant.com – Children’s ministry resources, Sunday School, and Vacation Bible School (VBS) curriculum for churches and teachers.