05.c - Maria Kim
-
Upload
well-told-story -
Category
Documents
-
view
250 -
download
0
description
Transcript of 05.c - Maria Kim
Jua signs za conflict, tatua shida mapema ili
kuzuia ugomvi na vita
Na warning signs ni
gani?
Examples za early warning
ni kama:
conflict mara nyingi hutokana na kutoelewana sababu ya kitu kidogo na huendelea kuwa worse isipo suluhishwa mapema
WORKSHOP - Youth hting Time: 2.00 pm - 4.00 pm
CHURCH NOTICE BOARD
18
water shortage...
Ma-Politicians wakiongea kwa lugha yao
na ku-mock watu wa kabila ingine
Wamama wawili wana-bargain bei ya
mboga
Wengine wana-joke juu ya kabila
zingine kuwa ni za warogi, wezi, wazembe,
walafi…
unaleta kisirani tena? Nunua maji au uende
zako!
Mnatufungia maji kwa commu-nity ili mjitajir-ishe tukinunua
maji yenu!
Tutaweza kujilinda kama
kabila kwa kuchagua kiongozi wa kabila
yetu. Outsider hajui shida zetu!
Unapandisha bei ili
tuwasaidie kupata pesa ya ku-campaign-ia
mtu wenu!
Tunashikwa na polisi mara nyingi kwa sababu hatuna sura ya Mkenya. Kwani Mkenya ana
sura gani?19
Ona vile rumours
hu-spread:
Roba amepewa notice ya kuhama na
landlord juu hakuwa analipa rent
Roba amepewa notice ya kuhama na landlord anayem-
chukia. Imagine si wa kabila yake!
Naskia notice imetolewa eti watu wa kabila yetu wanaham-
ishwa
Hebu nisaidie kutafuta nyumba ingine
ili nitoke kwa ma-landlords wakabila
Aaaai!hatuwezi kubali
kuhamishwa virahisi. Lazima tufanye kitu!
Jitayarisheni, tuna-demonstrate
kesho!!
20
Ufisadi kidogo hu-grow
into ufisadi bigtime
Watu wanaoweza
afford comfort-able life hawa-bother about
mabaya yanayofan-yika kwa wakenya
wengine
Kumaliza ufisadi kunaanza
individual ku-decide hatatoa
hongo. Kuwa transparent
Wakati wananchi hawaheshimu mali ya wengine kwa
kuiiba na kuiharibu
21
Unaweza imagine mtu akikaa kwa room inashika
moto sababu wenzake hawatoki
nje?
Hivi ndivo hate speech
huanza.
Huyu chali hakubal-iani na maoni ya wale wengine...
Ananogopa ku-express
maoni yake kwa wengine...
Mwishowe atajikuta amejiunga na
the majority na kufikiria ni sawa kuongea vibaya
juu ya wengine...
22
Huyu chali angekuwa surprised na watu ambao wangemuunga mkono kama angekuwa brave kuongea
against hate speech
Thanks kwa kutusaidia na
hizo tips
Nice seeing you Maria.
Tuonane lunch kesho!
It’s a date J.K!
DJB, nime-learn
umuhimu wa kujua warnings za conflict ili kui-prevent mapema
Nitumieni experiences zenyu vile mna-overcome conflict
inayoweza end up to violence on 3008 ili tuelimishane
kama vijanaa!
Mara mob, wakulima huchunga parts za mimea
wanazoona na kujua very little juu ya roots na yanayo-happen huko chini. Kujua yanayofanyika ndani ya mchanga kungefanya
mkulima kuchukua the first steps za ku-control worms na diseases kwa roots. Mwishowe, wakulima wangepata
healthy plants
Jua signs za conflict ili kuzuia nomaHizi ni possible signs za conflict: I. Insecurity nchiniII. Debate juu ya opinions tofauti kati ya wananchi III. Human rights violations na wananchi kukaziwa madaraka
yao IV. Kukosana kwa viongozi wa kisiasaV. Condition ya wananchi kiuchumi na institutions zilizo kwa
society yao kama za kidini, masomoVI. Middle class kutokuwa concerned na maovu yanayo-happen
kwa wananchi wengineVII. Politicians wanaweza incite watu na ku-cause violence kwa
kutumia differences za kabila, dini, historia ya ukoloni, land distribution na natural resources
VIII. Mabadiliko over time yanaweza fanyika kama kubadilika kwa government type, kiongozi kufa, kuongezeka kwa bei za bidhaa kama chakula, fuel na umaskini. Huwezi kuwa prepared ku-zizuia zisi-happen
Ili kumaliza violence: a) Wanao-cause violence wanatakikana kushtakiwa b) Healing and reconciliation ianzishwe ili–ku-address injusticesc) Watu wote wanatakikana kuhusishwa kwa ku-detect signs za
conflict juu wana-experience life kwa njia tofauti. Local com-munity iko-supposed kuhusishwa kwa process ya reconcilia-tion, sio tu viongozi peke yao
d)Nimuhimuku-documentmamboyapeacenacooperation.Signs za kuleta amani na umoja zinatakikana kuwa identified wakati wa ku-detect early warning signs. Conflict inapo-happen hufanya watu kusahau mambo ya amani
e) Penye nia pana njia: Anzisha njia za ku-communicate. Leta maelewano kati ya wananchi na sectors tofauti kama vikundi kwacommunity,religiousinstitutionsnaNGO’s
Tumia DJB maoni yako juu ya hii storo ya kuzuia conflict mapema on 3008
Zuia Violence
23